|
edondaki (November 30, 1999 at 12:00 am)
MAFANIKIO YA KESHO YANAHITAJI MAANDALIZI YA LEO..(Y-DASH)TMK WANAUME FAMILY WAMEBAKIA IMARA...Angali sasa babu kajitoa Wanaume halisi..Temba aliambia mwaka washetani wakaleta majibu ya mipasho..ona sasa Gangwe wapi tenaAbiiii abiii
mbookubwa (November 30, 1999 at 12:00 am)
Yeah tmk wanaume family big up sana,nawakubali sana,mko juu kuliko akina juma nature!safi sana kaza buti kama kawa,mchizi wenu-Marekani!!!
jerrpb (November 30, 1999 at 12:00 am)
Wanangu babu kubwa ni mimi jerry wa mbagala rangitatu, kwa sasa nipo korea, babu kubwa ilo songi
edondaki (November 30, 1999 at 12:00 am)
ukweli unabaki pale pale..TMK bado wamebakia imara..kweli naona temba umri unaenda umekata ze rasta..lolone love
ELMSURY (November 30, 1999 at 12:00 am)
Ku-da-da-de-ki Nature ni mwanangu wakaribu sana namfagilia asubuhi mpaka jioni lakini Temba na team iliyobakia nyuma TMK-Family wanakuja na vitu vya akili na ujmbe mzito kwa sasa yaani huwezi kuwapimia ni fuuuull credit... Jayjay London.... Sorry Sir nature but Habari ndio hiyo...
ujamaabay (November 30, 1999 at 12:00 am)
Yoh wanaume....keep the ball bouncin !! fo sho..tel dem motha&*5ers trying to be americans in bongo...hatua moja mbele kumi nyuma !!! dedication to all matozi wa bongo....keepin' it so real wanaume !! feel ya brothas ! rastaaaaaaaah !! keep makin' more sensible beats like this !!
colmadina (November 30, 1999 at 12:00 am)
Dope video i'm from london saw these guys in Dar MAD SKILLZ.
tatuuzy (November 30, 1999 at 12:00 am)
ebwana eeeh mule mule message delivered!!! kiwango |